Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 741
Jamani, kwa hapa Tanzania, kuna shule ipi inafundisha kupiga picha, nina madogo nataka kuwapeleka ili waje wakae kwenye studio yangu, tafadhali anayejua naomba anisaidie ni wapi kuna shule ya upigaji picha za aina zote?