Wapi wanakonunua karatasi kwa ajili ya recycling?

Wapi wanakonunua karatasi kwa ajili ya recycling?

GOKILI

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
632
Reaction score
438
Wadau nina mzigo wa makaratasi yaliyotumika ikiwa ni pamoja na magazeti na majarida na vitabu kukuu.

Kwa mwenye kununua au anaefahamu wapi naweza kuyauza msaada tafadhali.
 
Back
Top Bottom