Wapi wanalima Mdalasini?

Wapi wanalima Mdalasini?

fundi msati

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
216
Reaction score
91
Habari wadau naomba mnijuze nimkoa gani TZ. Wanapo lima mdalasini? Na je utumika kwa matumizi yapi ukiacha kua viungo vya chakula? Nilipi soko la uhakika wa zao hili??
 
Nenda Amani Muheza Tanga na Same Kilimanjaro
 
Back
Top Bottom