Wapi wananunua madini ya graphite kwa tani .kwa Hapa dar es salaam

je parle

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
2,022
Reaction score
3,919
Hbar za wakati huu.Ningependa kujua wapi wananunua madini ya graphite au bunyu kwa kilo au tani nyingi nyingi au ikiwezekana shamba zima.

Nawasilisha.

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Samahani mkuu naomba unieleweshe maana sijakupata vizuri;
1. Yaani wewe ubayo hayo madini na unatafuta sehemu ya kuuzia yaani ubatafuta soko?
2. Yaani wewe una pesa nna unatafuta mahali kunakouzwa hayo madini? Yaani unatafuta mgodi ama sehemu yanakozalishwa ili ununue?
 
Natafuta soko.ninayo

Back
Top Bottom