Samahani mkuu naomba unieleweshe maana sijakupata vizuri;
1. Yaani wewe ubayo hayo madini na unatafuta sehemu ya kuuzia yaani ubatafuta soko?
2. Yaani wewe una pesa nna unatafuta mahali kunakouzwa hayo madini? Yaani unatafuta mgodi ama sehemu yanakozalishwa ili ununue?