Wapi wananunua pete ya Tanzanite?

second lady

Member
Joined
Mar 24, 2021
Posts
43
Reaction score
19
Habari wanaJF

Nahitaji muongozo kama kuna mahali wananunua pete yenye kito cha Tanzanite niende nikauze yangu

Natanguliza shukrani [emoji120]

 
Hebu weka picha na bei basi maana hata humu unaweza pata mteja.
 
Ni hiyo hpo ni gold na ina stone za diamond kweny gold...kito ni tanzanite.

 
Nimekununulia ila kwasababu tuna mgogoro wa mahusiano unataka kuuza sawa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…