Wapi wananunua pete ya Tanzanite?

Kwanza ni genuine kweli? Alafu pili aliyekupa au kukununulia unamwamini? maana usikute ni FAMBANANGAY kama wakongomani wanavyosema?
 
Ni genuine maana ilikua kubwa ikabd niende dukani aliponunua wapunguze size kule posta mtaa wa indira gandhi
 
Indira gandhi hawanunui? Hiyo [emoji183] ni size gani, wewe wauzaje tuone namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…