Wapi wananunua Tanzanite

Dio

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
1,274
Reaction score
159
Niaje wakubwa?
Natumaini mko pouwa wote,nina tatizo kidogo hapa,ni wapi naweza kuuza madini ya Tanzanite kwa hapa Dar es salaam,na labda kuna process naweza kupitia labda?
Naomba mwenye uzoevu anijuze.
 
Nenda pale nyuma ya kituo cha Zimamoto wapo Tanzania Gems bei zao nzuri.
 
Good luck man. Mi napenda watu wanaojaribu na kufanya mambo yanayowaendeleza kimaisha na ku encourage wenzao. Big up!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…