Hamna. Ndio huko. Sema wao hawaoshi magari kwenye Car Wash, wao huosha majumbani tuKwanza uko commoro kuna fursa gan zaid ya kuuza nyanya??? Uko co ndo kwa Mohammed bakari alikotoroka???
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuoshwa full compact kila kitu inaanza 150k kushuka kulingana na mahitaji yakoDuuu vipi gharama zao
Wasalimie DodomaMkuu, mimi kwanza sipajui na sijawahi kufika huko Daslam....
Lakini naomba tu nikupongeze kwa kufanikiwa kumiliki mkebe in town...[emoji23][emoji23][emoji23]
Wasalimie Dodoma
ngoja mpaka niokote mkebe aka mkoko then nije nimtambie ndugu yangu zero iqTupo mkuu, karibu sana Dodoma[emoji4][emoji4]
ngoja mpaka niokote mkebe aka mkoko then nije nimtambie ndugu yangu zero iq
Itabidi anitembeze nikaone new white houseNamuonaga pale kitaa anauza chips kama kawaida....[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu 150k ni 150,000/=?Kuoshwa full compact kila kitu inaanza 150k kushuka kulingana na mahitaji yako
Hata ukitaka kwa 10k ni wewe tu
Naona mkuu unataka kuosha mkebe kabla hujarudsha kwa mwnywHeshima zenu wakuu.
Najua humu kuna wadau wa mikebe kwa namna moja ama nyingine yaani wenye mikebe, waazima mikebe, wapanda mikebe na kadhalika. Kiufupi tu JF tupo vizuri kila eneo.
Sasa hebu tujuzane kidogo wadau, kwa DSM wapi wanaosha gari vizuri zaidi ndani yaani hadi gari inanukia gari kama mpya vile. Car Wash nyingi naona miyeyusho tu.
Asanteni sana wadau
Ndio mkuu hyo washing inayopigwa ni balaaa wanatoa kilakitu ndan gari inang'arishwa hatari full unyunyu na hauijutii hela yako