Wapi wanapatikana samaki aina ya SALMON kwa hapa Tanzania (wanapouzwa)

Rozanna Agro Africa

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
809
Reaction score
796
Habari great thinkers, ningependa kujua kwa hapa Tanzania wanapouzwa samaki aina ya salmon

Lakini pia ningependa kujua wapi wanauza mafuta ya samaki aina ya salmon

Natanguliza shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…