Wapi wanatengeneza toroli or wanauza food carts kama hili

Ukisearch food cart utachelewa ingia Facebook marketplace search kabati la chips yatakuja fasta tu. Bei 100,000 hadi 300,000 kutegemea na ukubwa

Jibu hilo hapo. Nimekustahi kukujibu ulicho andika hapo Akotia
 
hicho kitoroli chenye tairi 4 ninacho nilikuwa nauzia popcorn hilo kabati unatengeneza tu kwa mafundi wa aluminium
 
Nataka hizo kachori, sambusa, vitumbua, eggchop, soseji na mikate ya maji.
 
hicho kitoroli chenye tairi 4 ninacho nilikuwa nauzia popcorn hilo kabati unatengeneza tu kwa mafundi wa aluminium
Kama unacho ulitengeneza wapi? Na bei gani? Na cha kwako unakiuza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…