Wapi wanatengeneza viti vya kwenye Hiace kutoka Japan zinazokuja bila viti?

Wapi wanatengeneza viti vya kwenye Hiace kutoka Japan zinazokuja bila viti?

Jamestanzania

Member
Joined
Oct 21, 2022
Posts
21
Reaction score
11
Za saizi wadau.

Hivi hizi hiace commuter zinazo toka japan bila viti ni wapi watu wanatengeneza hivi viti hapa TZ au kuna sehemu za kununua already made kwa ajili ya Hiace commuter?
 
Back
Top Bottom