J Jamestanzania Member Joined Oct 21, 2022 Posts 21 Reaction score 11 Jan 30, 2024 #1 Za saizi wadau. Hivi hizi hiace commuter zinazo toka japan bila viti ni wapi watu wanatengeneza hivi viti hapa TZ au kuna sehemu za kununua already made kwa ajili ya Hiace commuter?
Za saizi wadau. Hivi hizi hiace commuter zinazo toka japan bila viti ni wapi watu wanatengeneza hivi viti hapa TZ au kuna sehemu za kununua already made kwa ajili ya Hiace commuter?
Offshore Seamen JF-Expert Member Joined Mar 9, 2018 Posts 5,489 Reaction score 14,091 Feb 2, 2024 #2 Tabata Dampo& Gereji,Temeke Mwisho