Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maana ya kadinali ni nini?au kibogoyo?Mkuu kumbe ni kadinali? Nadhani Aghakan au Muhi2 wanatoa!!
Wanajamii Forums, Habari!
Napenda kujuzwa , wapi Hapa Dar Es Salaam Wanatoa Huduma ya Kuweka Meno Ya Bandi Ya Kudumu kwa gharama Nafuu?
Wenye Kujua au KUfahamu Chochote, Tafadhari Tujuzane .
Asante