The Tomorrow People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,675
- 2,807
Hivi umewahi kushuhudia kuwa hawakati ila wanafunga tu ring ?.Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna Huduma za tohara kwa wanaume bila kufanya operation...(Prepex) wanafunga ringi kwa ndani ya mkono wa sweta then wanazunguushia kitu kama mpira kwa juu. Baada ya wiki lile govi linasinyas then wanalitoa.
Natanguliza shukrani.
Uko mkoa ganiNiende moja kwa moja kwenye mada. Kuna Huduma za tohara kwa wanaume bila kufanya operation...(Prepex) wanafunga ringi kwa ndani ya mkono wa sweta then wanazunguushia kitu kama mpira kwa juu. Baada ya wiki lile govi linasinyas then wanalitoa.
Natanguliza shukrani.
Hindumandal wanafanya
Yaani naona we huna tofauti na madada zetu waliowao 0714 siku hizi wanakwambia sipendi uchungu wa kujifungua nataka op. kumbe anajua kinachoendelea.Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna Huduma za tohara kwa wanaume bila kufanya operation...(Prepex) wanafunga ringi kwa ndani ya mkono wa sweta then wanazunguushia kitu kama mpira kwa juu. Baada ya wiki lile govi linasinyas then wanalitoa.
Natanguliza shukrani.