Makanyaga JF-Expert Member Joined Sep 28, 2007 Posts 11,129 Reaction score 7,321 Nov 5, 2019 #1 Naomba tafadhali kama kuna mtu humu jukwaani anayejua sehemu ambayo wanauza Battery Mpya za Laptop hapa Dar, anijuze. Mubarikiwe na Bwana
Naomba tafadhali kama kuna mtu humu jukwaani anayejua sehemu ambayo wanauza Battery Mpya za Laptop hapa Dar, anijuze. Mubarikiwe na Bwana
N nyumbamungu JF-Expert Member Joined Mar 3, 2017 Posts 1,033 Reaction score 895 Nov 5, 2019 #2 Dar unapatikana wilaya gani?
barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,378 Reaction score 29,739 Nov 5, 2019 #3 Makanyaga Nenda maduka ya computer mitaa ya kisutu.. Achana na kariakoo.
Makanyaga JF-Expert Member Joined Sep 28, 2007 Posts 11,129 Reaction score 7,321 Nov 6, 2019 Thread starter #4 nyumbamungu said: Dar unapatikana wilaya gani? Click to expand... Niapatikana Keko Magurumbasi