24th DECEMBER
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 401
- 167
MorogoroNenda hardware kubwa mkuu..au maduka yanayouza generators utapata...we upo mkoa gani kwani!?
Mkuu nicheck whatsapp kwenye 0713509061Njoo Bosch upate machine orijino za mjerumani ila mfukoni uwe vizuri gerentii unapewa ikifa kabla ya muda unapewa jingine ila unaweza ukafa ww,mwanao na mjukuu yenyewe bado ikiwa nzima karibu sana
Kwa morogoro nenda pake kwa msamvu kama unataka kwenda tanzanite hall kuna hardware pale wanauza...andaa not less than 100kMorogoro
Ok poaMkuu nicheck whatsapp kwenye 0713509061
Kama used zisiwe zimechokaUnataka mpya au used?
Poa nitaenda mkuuKwa morogoro nenda pake kwa msamvu kama unataka kwenda tanzanite hall kuna hardware pale wanauza...andaa not less than 100k