Wapi wanauza desktop na laptop kwa bei ya jumla?

Wapi wanauza desktop na laptop kwa bei ya jumla?

gkasambo

Member
Joined
Apr 12, 2017
Posts
64
Reaction score
70
Habari za mchana,

Ninaomba kwa anayefahamu sehemu duka/ kampuni/ kiwanda ambapo ninaweza pata desktop na laptop kwa bei ya jumla au ya chini zaidi.

Ninahitaji destop 300 na laptop 50 kuna mahali zinatakiwa kuwekwa.
 
bajeti iko sawa tu, kikubwa kufaham mahali ninapoweza pata hizo product
Bila wewe kufunguka ni vigumu kupata hitaji lako, kwa wingi wa hizo kompyuta zitakuja kwa oda, na zitaagizwa nje, kutokana na bajeti yako pamoja na specs.
 
Back
Top Bottom