gkasambo Member Joined Apr 12, 2017 Posts 64 Reaction score 70 Nov 23, 2021 #1 Habari za mchana, Ninaomba kwa anayefahamu sehemu duka/ kampuni/ kiwanda ambapo ninaweza pata desktop na laptop kwa bei ya jumla au ya chini zaidi. Ninahitaji destop 300 na laptop 50 kuna mahali zinatakiwa kuwekwa.
Habari za mchana, Ninaomba kwa anayefahamu sehemu duka/ kampuni/ kiwanda ambapo ninaweza pata desktop na laptop kwa bei ya jumla au ya chini zaidi. Ninahitaji destop 300 na laptop 50 kuna mahali zinatakiwa kuwekwa.
Mugabe Jr Senior Member Joined Aug 19, 2020 Posts 160 Reaction score 287 Nov 23, 2021 #2 Watafute SANGA wako Kariakoo
gkasambo Member Joined Apr 12, 2017 Posts 64 Reaction score 70 Nov 23, 2021 Thread starter #3 Mugabe Jr said: Watafute SANGA wako kariakoo Click to expand... Asante nitawafuta mkuu, wako maeneo gani pale Kariakoo?
Mugabe Jr said: Watafute SANGA wako kariakoo Click to expand... Asante nitawafuta mkuu, wako maeneo gani pale Kariakoo?
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 33,679 Reaction score 49,841 Nov 23, 2021 #4 Bajeti yako ikoje, tukupe vyanzo vya uhakika
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 33,679 Reaction score 49,841 Nov 23, 2021 #5 gkasambo said: bajeti iko sawa tu, kikubwa kufaham mahali ninapoweza pata hizo product Click to expand... Bila wewe kufunguka ni vigumu kupata hitaji lako, kwa wingi wa hizo kompyuta zitakuja kwa oda, na zitaagizwa nje, kutokana na bajeti yako pamoja na specs.
gkasambo said: bajeti iko sawa tu, kikubwa kufaham mahali ninapoweza pata hizo product Click to expand... Bila wewe kufunguka ni vigumu kupata hitaji lako, kwa wingi wa hizo kompyuta zitakuja kwa oda, na zitaagizwa nje, kutokana na bajeti yako pamoja na specs.