Wapi wanauza ivi vitu nahitaji kununua nipo dar

Hivyo umenunua wapi?

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ✓
 
Shimoni jamani ata sijawahi kuingia asante ntaenda nione
Oh God! Hujawahi kuingia cadey? Kule kuna wahuni sana na wanakaba mchana mchana, na kwahiyo sio salama kuingia peke yako! But anyway, nitakusubiri pale langoni nikusindikize, unaonaje?
 
Oh God! Hujawahi kuingia cadey? Kule kuna wahuni sana na wanakaba mchana mchana, na kwahiyo sio salama kuingia peke yako! But anyway, nitakusubiri pale langoni nikusindikize, unaonaje?
Asante, kuna mdau kasema niende soko dogo lakin sijui lilipo
 
Asante, kuna mdau kasema niende soko dogo lakin sijui lilipo
Naona kuna mdau hapo chini keshakuwekea! Lakini soko dogo lipo oppossite na (nyuma ya) soko kubwa!! Tuseme ndo umetokea Msimbazi, halafu ukaingia soko kubwa kupitia lango kuu! Ukiingia langu kuu, unapitiliza moja kwa moja hadi upande wa pili, na ukitokea tu upande wa pili, utakachokua unaangalia ni soko dogo, sie wengine tumezoea kuita soko la nazi!!

Kama lengo bado ni kwenda K/koo moja kwa moja, na hujaelewa hayo maelekezo, just uliza upate maelezo ya ziada!
 
Asante ,ntakutafuta naomba unambie za robo kilo ni bei gani na zinakuwa pisi ngapi ili nikikutafuta niwe nimejipanga
 
Asante ,nikikwama ntakucheki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…