Msaada waku naulizia wapi au makampuni Gani wanauza vyuma plate zakutengeneza matank ya mafuta petrol na diesel navyuma vya nguzo za conopy na vifaa vyake oringina msaada wenu Dee pond ,agroprodct na wadaut wangine

Nenda maeneo ya Gerezani Kariakoo ,
Utapata plate , pamoja na ukunjaji wake, vyuma vya Canopy ni Tabata Dampo or nenda Kamala wapo maeneo ya Mandela road , utapata Vyuma na mabati