Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,655
- 2,506
Wapi wanaweza kufanya programming ya funguo ya Nissan X-Trail 2005 na ni bei gani approx? Maana gari imekuja na funguo mmoja sasa naona italeta shida mbeleni.
Ninaongela kufanya programming ya transponder iliyo kwenye funguo, hii inaongea na immobiliser kwenye gari ili uweze kupiga start gari.
Hii ni tofauti na programming ya remote ambayo inafungua mlango ambayo ninaweza kufanya mwenyewe na pia ni tofauti na kuchongesha funguo ambao unafungua mlango lakini hauwezi kupiga start gari.
Ntashukuru kwa msaada.