Wapi yanalimwa maharage ya njano?

mwanyaluke

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2015
Posts
704
Reaction score
2,435
Maharage ni miongoni mwa nafaka zinazotumika sana Tanzania, tafsri yake soko lake lipo, kuna aina nyingi za maaharage, lakini maharage maarufu na yenye soko ni maharage ya njano, ni mikoa gani na wilaya zipi yanalimwa maharage ya njano.
 
Ndo haya tunayaita yakigoma au
 
Mkuu nilidhani combat ndio inaliwa zaidi.
 
Iringa wilaya ya kilolo kama yote ata ukienda na lori 10 znajaa
 
Funguka uingie mikataba na wakulima wapande wewe boresha soko.
 
Mimi ninayo nipo Makambako.

Napatikana 0737263867
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…