Nimeona kuna ligi ya kupambanisha miji humu JF. Leo nimeona nije na hii miji miwili midogo. Karatu iliyoko Kaskazini mwa Tanzania mkoani Arusha na mji wa Mbinga ulioko kusini mkoani Ruvuma. Sehemu zote mbili nimefika na ninazifahamu. Zinafanana sana kifursa.
Wewe mji upi mkubwa na upo na fursa nyingi zaidi?