Wapi zilipo ofisi za Public Service Recruitment Secretariat,

Wapi zilipo ofisi za Public Service Recruitment Secretariat,

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Posts
7,621
Reaction score
12,505
Wadau naomba mwenye kujua zilipo hizi ofisi anijuze fasta nina shida muhimu pale
thanx in advance
 
nasikia ziko pande za kivukoni kama ukifika kuna kituo wanaita ardhi so ukifika hapo kama hatua 18....hv
 
Na huko tayari mmeanza kupeleka vimemo?
 
Ni apo utumishi,shuka ardhi au kivukoni kisha muulize yeyote kuwa unaenda utumishi. Kama unapeleka za national audit mwisho kesho,take care.
 
Na huko tayari mmeanza kupeleka vimemo?
hapna sio kimemo mkuu, nilikuwa nawahisha application yangu tu kaka
Ni apo utumishi,shuka ardhi au kivukoni kisha muulize yeyote kuwa unaenda utumishi. Kama unapeleka za national audit mwisho kesho,take care.
dead line iliku hiyo hiyo jana mkuu tarehe 24
 
Mkuu usaili ukifika tukumbushane.
 
Kama watakuita!!!

umevunja mbavu,umenipa hofu pia,maana nakumbuka nshawahi kufanya interview kati ya 4big audit firm kutoka interview ya kwanza 800 na tuliomba watu2000, ya pili 120,ya tatu 84 walikuwa wanataka 25,cha ajabu nkapigiwa simu ya kuwa hongera umepata nafasi subiri tutakupangia siku ya maongezi,nlisubiri wee! Siku nlipoenda kuhoji nkaambiwa ulipigiwa cm kimakosa,nkajua tayari mchezo umefanywa. Sasa ndugu ukisema ivo unanitonesha donda la audit firm. Ndugu naomba tu Mola anijalie níitwe kwenye interview ndo kazi kwisha,najihamini ndugu!
 
Back
Top Bottom