Wapi zinauzwa hizi machine?

Wapi zinauzwa hizi machine?

Njiwa wangu

Senior Member
Joined
Dec 5, 2020
Posts
146
Reaction score
289
Habarini za asubuhi wakuu, naomba kuuliza wapi naweza pata hizi mizani vidogo digital scale na wanauza kwa Tsh. ngapi na je zinaweza kuwa na soko maeneo gani?


IMG_20210609_074937.jpg
 
Back
Top Bottom