Wapiga dili wenzangu tukutane hapa

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Kusema ile kweli kwa sasa hali imekuwa tete mi mpiga dili juzi tu nimetoka kuchukua kitambulisho cha ujasiriamali ingawa hali ni tete,


Zamani nilikuwa nauza chipsi mpaka nakimbia wateja ila siku hizi nauza huku nikifikiria sijui kama kesho itafika bila kufunga kibanda,

Kwa kweli mimi mpiga dili kwa sasa niko hoi taabani kinachonifariji kuendelea ni hawa watoto wakali wanaojipitisha mbele ya kibanda changu.




Cc Zero IQ
 
Anza kuuza atakijambio tu kitakutoa
 
Pole ndugu kila sehemu pamejamba mzee hakuna pa kukimbilia mzee sector zote zipo hoi.
 
Itakuwa ni kosa la jinai sana kuruhusu hii awamu kuingia tena madalakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…