Ukiwa na upande upande usio wako unaona wanafanya vitu visivyo vya maana.
Tunaendelea kusikiliza makelele ya wanasiasa na mipasho ili Tarehe 28/10/2020 tuwape Ajira.
Hapa Tanzania Hakuna hoja wala sera ni mipasho ya wanasiasa tu kwenye kampeni.
Ukitarajia uwasikilize ndio ufanye maamuzi Utakua unaongopa maana nimipasho sio hoja.