Wapiga Mabao - Goal Poachers

Companero

Platinum Member
Joined
Jul 12, 2008
Posts
5,606
Reaction score
1,711
Kazi yao siyo ku(ji)piga chenga na kufanya madoido yasiyo na tija kama ya Ronaldinho Gaucho. Wala kazi yao siyo kutoka nduki kama Thiery Henry Mabio. Hawa kazi yao ni moja tu - kupiga mabao. Ndiyo maana wanaitwa foxes in the box (mbwa mwitu kwenye kumi nane) , scoring machines (mashine za kufunga magoli) na goal poachers (watafuta mabao).

Je, unawajua? Kama ndiyo, ongeza majina!

1. Filipo 'Pipo' Inzagi
2. Abeid Mziba 'Tekelo'
3. Jimmy Floyd Hasseilbank
4. Rudi van Nilesteroy
5. Zamoyoni Mogella
6. Gabriel Batistuta
7. Jimmy Moredi Jimmy
8. Gary Lineker
9. Madaraka Selemani 'Mzee wa Kiminyio'
10. Raul 'Madrid' Gonzalez
11. Kitwana Selemani
12. Giuseppe Signori
13. Mbwana Samatta
14. Ronaldo Lima 'The Phenomenon (Tukio la Ajabu)'
15. Said Mwamba 'Kizota'
16. Marco van Basten
17. Nonda Shabani 'Papii'
18. Romario Faria
19. Augustino Peter a.k.a. Peter Tino
20. Salvatori 'Toto' Schillachi

Angalizo: Msituwekee majina ya washereheshaji, tunataka wanamabao tu!

CC: Gang Chomba, EMT, Mourinho
 
Last edited by a moderator:
Dado Prso wa '04 Monaco
Klaas Jan Huntelaar
Diego Milito
Christian Vieri
Fernando Morientes
Falcao kabla ya majeruhi
Diego Forlan wa La Liga
Luiz Adriano
Jerry Tegete
Andriy Shevchenko wa Milan
Hernan Crespo
Pato wa Milan kabla ya majeruhi
Adriano Leite Ribeiro
 
Raul Gonzalenz
Pipo Inzaghi
Ruud Van Nistelrooy
Hernan Crespo
Diego Millito
 
Mpira ni magoli, siyo madoido
Mpira ni mabao, siyo makeke

CC: Gang Chomba
 
Last edited by a moderator:
21. Gianluca Lentini 'Gigi'
22. Anthony 'Tony' Yeboah
23. Siyabonga Nomvete
24. Thomas Ulimwengu
25. James Tungaraza 'Boli Zozo'
 
Siyo mzima wewe kama TH14 unamuita mzee wa mimbio na si mtupiaji unahitaji kupimwa akiri wewe
 
Didier drogba+antonio di natale+thomas muller+mario gomez
 
Rivaldo,Emanuel Petit,Patrick Mbona,Said Mwamba Kizota,Mamadou Niang,Lukas Podolski,Van Persie & Luca Toni
 
Mpira ni magoli, siyo madoido
Mpira ni mabao, siyo makeke

CC: Gang Chomba

Hapana!

Mpira ni zaidi ya magoli, ndio maana hata kuuanza tunaanza katikati ya uwanja. Ingekuwa lengo ni kufungana tungeanza na matuta...

Nimesema!
 
Last edited by a moderator:
Giussepe Meazza...
Danielle Masalo...
Malcelo Salas al maarufu kama El Matado...
Ivan Zamorano...
David Trezeguet...

NB: GIUSSEPE MEAZZA...
kwa kitaliano Giussepe ni Joseph hivyo alifahamika pia kama Joseph Meazza.
huyu muungwana alitambulika kwa sign moja tu, ya kwamba awapo uwanjani basi inamaana ni 1-0.
yaani alikuwa na uhakika wa kutupia kamba ktk kila game
 

Hapana!

Mpira ni zaidi ya magoli, ndio maana hata kuuanza tunaanza katikati ya uwanja. Ingekuwa lengo ni kufungana tungeanza na matuta...

Nimesema!


kwi kwi kwiiiiii asante mphamvu mzee wa soka la Ndani
 
kwi kwi kwiiiiii asante mphamvu mzee wa soka la Ndani

Kama kawaida! Kama siasa zetu zitaendelea kwa kuwashabikia akina Obama na vyama vya mashoga, basi hata soka litaendelea kwa wataalamu kupoteza lisaa lizima redioni wakiwachambulia watu goli la Chicharito vs Atletiko.

Kila la heri upuuzini!
 
Christian Vierri
Faustin Aspirila
Rud Van Nelstrooy

Kijuso
Mogela
Dua Said
 
Nashangaa hamumfahamu Jurgen Klinsmann au soka mlikuwa bado hamjalikua. Kalusha Bwalya, Teophil Abega
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…