kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Tumewazoea kwa ramli zenu dhidi ya mnyama na uchambuzi uchwara ambao hatuusilkii sana sasa hivi ya kuwa simba ni wazee. Badala yake mmeanza kampeni ya kuililia Simba iwape mikataba minono hao hao mliokuwa mnawaita wazee.
Najua mmekula mlungura kutoka upande wa pili ili mcheze mind game against Simba, lakini safari hii nawaambia mmekwama, vilaza wakubwa nyie mshukuru Google na YouTube, vinginevyo mngekuwa wakulima wa matikiti.