Wapigaji Wangu Hatari wa Mipira Iliyokufa(dead ball) Wa muda wote


Sawa mkuu.huo ni mtazamo wako

Diego atabakia kuwa Maradona

Na leo atabakia kuwa Messi.

Hawana mpinzani
 
Beckham kwa kuwa alikuwa wa England that's why kaonekana, juninho wa Lyon huyo jamaa nilikuwa namfaid kwenye champions league, wenzie walikuwa wanampa assist kwa kutafuta faulo kwenye maeneo yake!
 
Kuna mtu alikua anaitwa Basinas
Alikuwa anakipiga club moja jina limenitoka lakini hiyo club inatokea Uturuki
 
Mchawi messi
Mchawi maradona
Fundi Requelme. Nani kama hawa katika dead balls?????? Nauhakika hakuna
 
David Beckham alikuwa fundi zaidi kwa miaka hiyo zaidi ya wote
 
Shiza kichuya kwa sasa hana mpinzani ndani ya Bongoland...Robert Carlos anapiga krosi matata huku Zinedine Zinade akimaliza kazi kwa bao zuri huku Bayern Leverkusen wakipigwa na butwaa....Luis Figoooo huyu naye hakuwa nyuma....Beckham,Dihno na Junihno hawa wanajua...
 
Ongeeni yote ila kama hamjui basi mjue. Kwenye dead balls Mungu wa soka Diego Armando Maradona hakuwahi kuwa na mpinzani. Hao mnaowataja wooote ni kizazi cha juzi tuuu

Ngoja nikupe like za kumwaga mzee.yaani umenena vilivyo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…