Wapiganaji 11 wa Urusi wauawa kwenye mafunzo

Wapiganaji 11 wa Urusi wauawa kwenye mafunzo

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Wakiwa kwenye mafunzo ya ulengaji shabaha, kwa ambavyo wamechanganyikiwa walianza kupigana risasi wenyewe kwa wenyewe.

===≈=

At least 11 Russian soldiers were killed Saturday in a shooting incident that underlined the challenges posed by Russian President Vladimir Putin's hasty mobilization, just as Ukrainian troops pressed an offensive to reclaim the areas in the country's south that were illegally annexed by Moscow.

The Russian Defense Ministry said two men opened fire at volunteer soldiers during a target practice session in western Russia, killing 11 of them and wounding 15 others before being killed themselves. The ministry called it a terror attack.

Russia has lost ground in the nearly seven weeks since Ukraine's armed forces opened their southern counteroffensive. This week, the Kremlin launched what is believed to be its largest coordinated air and missile raids on Ukraine's key infrastructure since Russia's invasion of Ukraine on Feb. 24.

In the continuation of those attacks, a missile strike Saturday seriously damaged a key energy facility in Ukraine's capital region, the country's grid operator said. Following mounting setbacks, the Russian military has worked to cut off power and water in far-flung populated areas while also fending off Ukrainian counterattacks in occupied areas.
 
tukio limehusishwa na ugaidi... magaidi wawili wameuwawa.. kinachofuata ni uchunguzi kama walitumwa na zele.. ikigundulika kahusika ujue kyivu inaenda kuwaka moto tena..
 
tukio limehusishwa na ugaidi... magaidi wawili wameuwawa.. kinachofuata ni uchunguzi kama walitumwa na zele.. ikigundulika kahusika ujue kyivu inaenda kuwaka moto tena..

Safi sana kumbe wanangu wamefika mpaka kwenye maeneo ya mafunzo, wanafanya yao ndani humo humo, ukweli Warusi wanalo....
 
tukio limehusishwa na ugaidi... magaidi wawili wameuwawa.. kinachofuata ni uchunguzi kama walitumwa na zele.. ikigundulika kahusika ujue kyivu inaenda kuwaka moto tena..
Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy, said in a YouTube interview that the attackers were from the Central Asian nation of Tajikistan.
NZela kajitetea mapema anajua kinachofata
 
Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy, said in a YouTube interview that the attackers were from the Central Asian nation of Tajikistan.
NZela kajitetea mapema anajua kinachofata

Attackers kwenye kambi za mafunzo, yaani mpo wazembe kiasi hicho....bwahahahaha
 
Terrorist attack...Cha ajabu marekani anatambua mashambulizi kama ni ya kigaidi iwapo tu yamefanyika kwenye ardhi yake na supporters wake. Yakifanyika nchi nyingine wanayafanya ninya kishujaa..upumbavu mtupu
 
Terrorist attack...Cha ajabu marekani anatambua mashambulizi kama ni ya kigaidi iwapo tu yamefanyika kwenye ardhi yake na supporters wake. Yakifanyika nchi nyingine wanayafanya ninya kishujaa..uoumbavu mtupu

Jamaa bado upo, vipi zile propganda zako za kusema Zelensky amejificha Poland, wavaa kobaz hamna aibu kabisa..
 
Shida yao hao ni jamii moja wanafanana lugha moja hawakupaswa kupigana

Urusi ajiandae kwa matukio ya kihivyo kwa muda mrefu, ukishambulia nchi jirani ambayo una undugu nao halafu unasambaratisha nyumba zao na kuua wazazi na watoto, tegemea chuki za muda mrefu, hata mimi nakua tayari kujitoa mhanga.
Ni kama leo Tanganyika muwafanyizie Zanzibar, muue wazazi na watoto wao ilhali kwenu huko hao hao Wapemba wapo kibao.
 
Jamaa bado upo, vipi zile propganda zako za kusema Zelensky amejificha Poland, wavaa kobaz hamna aibu kabisa..
IMG_20221016_133759.jpg
 
Back
Top Bottom