Wapigania haki za kibinadamu mbona hamuandiki nyuzi kulaani ndoa mabinti wadogo (underage girls) huko Iraq au hadi Israel ndio hausike?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Wapigania haki za kibinadamu wana jukumu la kulaani na kushughulikia ukiukwaji wa haki za binadamu popote pale duniani, iwe ni ndoa za watoto huko Iraq, Israel, au sehemu nyingine yoyote. Haki za kibinadamu ni za kila mtu, bila kujali mipaka ya kijiografia au muktadha wa kisiasa.

"HARAKATI ZENU SIO ZA ZA KUPIGANIA HAKI AU UKOMBOZI, BALI NI ZA ITIKADI, ITIKADI ZA KITAPELI."

eli cohen.
 
Ndugu katika imani hawaoni maumivu ya watoto wanayoyapitia huko Iraq kwa sababu ya kushare itikadi moja.
 
Hausike x ,, Ahusike ✓ kiswahili ndiyo kwa heri ya kuonana. Waangazaji redioni na TV ndiyo balaa kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…