JOKA55
Senior Member
- Nov 1, 2014
- 110
- 74
Katika vyou mbalimbali vya kijeshi na vya kawaida kuna kozi inayoitwa Hermanurtics katika somo hili wanafunzi wanatakiwa kuchambua kazi fulani na kupata mawazo msingi ya mwandishi/mtunzi/msanifu wa kazi fulani. Inaweza ikawa matamshi ya mtu fulani, hotuba, kazi fulani ya kijeshi, ya kiulinzi wanafunzi waambiwa wachunguze kiutafiti na kupata wazo la muasisi wa kazi hiyo kutokana na mazingira, nyakati, mahitaji nk
Sasa Tanzania yetu yenye kelele za kila aina kuhusu uongozi wa kitaifa, je waasisi walikua na ndoto gani kipindi wanamwaga damu, wanatumia nguvu na akili zao kupigania uhuru wa nchi hii? Mambo yako sawa? au ni wivu wa watu wasiobahatika kuwa madarakani? Au basi ni ile hulka ya watanzania ya kulalamika kila kitu?
Tujuzane kwa fikra yakinifu