Wapinzani aliharibu kabisa hii nchi, CAG awavua nguo ya ndani

Ilani ya ccm 2020 - 2025 inasema tutaendelea kupambana na rushwa na ufisadi kwa nguvu zote.


Haisemi ufisadi umeisha.

Hata Ulaya kina Morinyo, Messi, Ronaldo mara kwa mara tunasikia aamepelekwa mahakamani kwa kukwepa kodi.

Hata Chadema wabunge wengi walihama mwaka jana sababu ya ufisadi michango yao. Kinachotakiwa ni kuendelea kupambana na ufisadi
 
Hivi hii ndio report ya kwanza ya CAG kwa nchi hii?

Haki watu wanahemka mnoooooo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Point yako haswa ni ipi madam?
 
Jiwe angekuwa hai CAG angetoa hii report?
 
Hapa MATAGA yatasoma heading tu na kuanza kutukana au ku support thread make yale majamaa akili zao waga ziko nyuma kwenye mwiko...
 
hakika wapinzani waliharibu nchi hongera mwana fasihi
 
CCM ufisadi kwao ni mfumo, waliiba toka mwaka 1961, wameingia madarakani kwa wizi na hawataki kutoka, ila mwaka 2020 ndio wakaiba mchana saa sita nanusu jua la utosi, wapinzani msitegemee kwabunge hili hiyo ripoti ikafanya kitu, kigwangala ni mbunge na ameiba sana, Babu Tale wa WASAFi yupo kwenye ufisadi na pale bungeni yupo, karibu kila fisadi yupo Bungeni na walikuwa wamejipanga kwa kupitisha urais wa maisha w a jiwe , sasa haya mambo ya CAG yamewashusha chupi kabusa, hawana pa kutokea lakini tusitarajie mapya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…