Wapinzani aliharibu kabisa hii nchi, CAG awavua nguo ya ndani

Mimi ni rahisi Wa wanyonge masikini.

Nasema uongo ndugu zangu? Rip jiwe
 
Mungu ameamua kuwaaibisha kweli,maana walisema wapinzani wanatuchelewesha wakaamua kuiba uchanguzi ili wabaki wenyewe,sasa uchafu imejitokeza wakiwa wenyewe hakuna wa kumsingizia
 
Hivi hii ndio report ya kwanza ya CAG kwa nchi hii?

Haki watu wanahemka mnoooooo

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hawajachemka. Fikiria umewekwa mahabusu miaka kumi kwa shutuma za mauaji halafu siku moja ghafla unafunguliwa mlango unaambiwa ondoka zako; wewe unauliza vipi ; unaambiwa nenda zako hauna kesi ya kujibu; utajisikaje?
 
CAG ...mstari kwa mstari, nukta kwa nukta, aya kwa aya..document zinachambuliwa kwa weledi, kaburi lifungwe pingu
 
Binge la wana CCM pekee, sijui itakuwaje. Bora Mama afungulie vyombo vya habari kama mhimili wa nne.
 
Binge la wana CCM pekee, sijui itakuwaje. Bora Mama afungulie vyombo vya habari kama mhimili wa nne.
Covid-19 si wamo mle, labda wataandikiwa na ndugu aai cha kuongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…