Baada ya kuishiwa hoja mmekuja na slogan kwamba maendeleo ya vitu hayana maana
Kwamba ndege zilizonunuliwa hazina maana, mkasahau kuwa ndugu zetu walipokwama India tuliwafuata na Ndege yetu. Kwenu hata hili halina maana.
Kwamba ndege zetu zitakuwa zinabeba Watalii kuja Tanzania, kwenu hili halina maana kabisa. Kwamba zitachangia pato la taifa na watoto wenu kusomeshwa bure hili Hamlioni kabisa. Upofu wa ajabu huu.
Bwawa la umeme la Nyerere kwenu hili halina maana wakati mnajua kuwa bei ya umeme itapungua, viwanda vitajengwa vingi na bei ya bidha itakuwa ndogo. Kila kijiji kitakua na umeme
Train ya mwendo kasi, from Dar to Morogoro, then Morogoro to Dodoma, then later to Mwanza kwenu hii ni takataka. This is more insane. Train hizi hata America waliyowatuma kuwadanganya watanzania wasiyokuwa na hatia kule zipo mmezipanda, ndege mmepanda. Lakini sisi tukiwa navyo ni takataka.
Wake zenu wanajifungua bure, watoto wenu wanasoma bure lakini hata shukrani hamna ila mnaona machinga kuchangia pato la taifa siyo halali. Lakini huko kwa mabeberu wanalipa kodi tena kwa hiyari.
Mnataka uhuru na haki. Hili sawa lakini hamsemi mnataka uhuru kutoka kwa mkoloni yupi. Uhuru wa kuwatukana viongozi, uhuru wa kuwa mashoga, uhuru wa kutumia dawa za kulevya ? mnataka uhuru gani? Lakini hatushangai hata Libya walitaka uhuru waliupata lakini leo wanatamani kama leo Gaddafi angefufuka.
Tabia ya kugeuza mema kuwa mabaya ni tabia ya shetani. Mmegeuza mema kuwa mabaya .Sawa.hamna shida.