Kuna tofauti kati ya kuwa mkali na kuwa katili/muuaji. Magufuli slikuwa katili na muuaji, aliua wote waliompinga au kuhoji utendaji wakeKabla ya kuingia madarakani hayati JPM walikuwa wanataka kiongozi mkali atayepinga ufisadi na kupambana na wala rushwa. Atakayekemea wanaotumia vibaya madaraka na wazembe.
Huu ni utoto.View attachment 1777322
Kama unaupenda mzoga kiasi hicho ufuate hukohuko
Yani kwa akili yako unadhani Magufuli alikuwa kiongozi? Yule alikuwa anaipeleka peleka nchi tuu na yaliyotokea kwake huenda ni mpango wa Mungu kwa watu wake. Yani unakaa kabisa unawaza kuwa Magufuli naye kwenye kundi la viongozi wanaoitwa viongozi yumo? Pole sana naona sonona inakupeleka kasi!Kabla ya kuingia madarakani hayati JPM walikuwa wanataka kiongozi mkali atayepinga ufisadi na kupambana na wala rushwa. Atakayekemea wanaotumia vibaya madaraka na wazembe.
Bahati mbaya hayati JPM amefariki na sasa ameingia mama Samia kuwa rais wa JMT sasa wanashangilia na kufurahi. Kwa nini wanafurahia?
Wanajua huyu mama ni mpore, sio mkali kama hayati JPM?
Kwa ufupi wapinzani wa Tanzania hawana msimamo na wapo kimasirahi zaidi.
We kenge naona umeamka makalio yanakuwasha ili umwagiwe shahawa.Yani kwa akili yako unadhani Magufuli alikuwa kiongozi? Yule alikuwa anaipeleka peleka nchi tuu na yaliyotokea kwake huenda ni mpango wa Mungu kwa watu wake. Yani unakaa kabisa unawaza kuwa Magufuli naye kwenye kundi la viongozi wanaoitwa viongozi yumo? Pole sana naona sonona inakupeleka kasi!
Jaribu upelekewe moto huenda ukakaa sawa.
Elimu elimu elimu ndicho kitu umekosa masikini 🤣🤣🤣 nan alikwambia kiongoz bora ni ni mkali??? Halafu unaandika mama ni mpore 😳 ndo upupu gan huu!!Kabla ya kuingia madarakani hayati JPM walikuwa wanataka kiongozi mkali atayepinga ufisadi na kupambana na wala rushwa. Atakayekemea wanaotumia vibaya madaraka na wazembe.
Bahati mbaya hayati JPM amefariki na sasa ameingia mama Samia kuwa rais wa JMT sasa wanashangilia na kufurahi. Kwa nini wanafurahia?
Wanajua huyu mama ni mpore, sio mkali kama hayati JPM?
Kwa ufupi wapinzani wa Tanzania hawana msimamo na wapo kimasirahi zaidi.
AmenKwa akili hizi huwezi kuwa mpinzani maisha yako yote!!
Wapinzani hatukusema tunataka rais kwa kuuwa watu , kupotea , kutotaka ukweli kwa mkaguzi wa serikali , etc
Wewe huna miezi miwili from today, either utakimbia jukwaa au utabadilisha ID. MARK MY WORDKabla ya kuingia madarakani hayati JPM walikuwa wanataka kiongozi mkali atayepinga ufisadi na kupambana na wala rushwa. Atakayekemea wanaotumia vibaya madaraka na wazembe.
Bahati mbaya hayati JPM amefariki na sasa ameingia mama Samia kuwa rais wa JMT sasa wanashangilia na kufurahi. Kwa nini wanafurahia?
Wanajua huyu mama ni mpore, sio mkali kama hayati JPM?
Kwa ufupi wapinzani wa Tanzania hawana msimamo na wapo kimasirahi zaidi.
alitumia madaraka vibayaKabla ya kuingia madarakani hayati JPM walikuwa wanataka kiongozi mkali atayepinga ufisadi na kupambana na wala rushwa. Atakayekemea wanaotumia vibaya madaraka na wazembe.
Nawe je; uko kama Sodium Sulfate ambayo haibadiliki kikemikali kutokana na mabadiliko ya mazingira? Basi uko maiti inayotembea.Kabla ya kuingia madarakani hayati JPM walikuwa wanataka kiongozi mkali atayepinga ufisadi na kupambana na wala rushwa. Atakayekemea wanaotumia vibaya madaraka na wazembe.
Bahati mbaya hayati JPM amefariki na sasa ameingia mama Samia kuwa rais wa JMT sasa wanashangilia na kufurahi. Kwa nini wanafurahia?
Wanajua huyu mama ni mpore, sio mkali kama hayati JPM?
Kwa ufupi wapinzani wa Tanzania hawana msimamo na wapo kimasirahi zaidi.
Mbona hata kijani hatuna msimamo,mbona kuna waliokwamia away iliyopita bado,mbona wanakiuka imani yeti kuwa kijani ni ile ile.Kabla ya kuingia madarakani hayati JPM walikuwa wanataka kiongozi mkali atayepinga ufisadi na kupambana na wala rushwa. Atakayekemea wanaotumia vibaya madaraka na wazembe.
Bahati mbaya hayati JPM amefariki na sasa ameingia mama Samia kuwa rais wa JMT sasa wanashangilia na kufurahi. Kwa nini wanafurahia?
Wanajua huyu mama ni mpore, sio mkali kama hayati JPM?
Kwa ufupi wapinzani wa Tanzania hawana msimamo na wapo kimasirahi zaidi.
Lete hoja acha maneno machafu,hata Kule kijani hatuna maneno machafu.We kenge naona umeamka makalio yanakuwasha ili umwagiwe shahawa.
Tangu lini binadama kawa kenge,kama hivyo jikague na wewe.Huyo kenge mwenzako hajitambui.