Wapinzani Kualikwa TBC. Zitto Kabwe Aalikwa Live Program TBC. Hongera TBC, Hongera Dr. Ayub Rioba, Huu ni Uthibitisho Sasa TBC ni TV ya Taifa ya Wote!

Wewe NJAA unaendelea na unafiki wako! ZITTO KABWE sio mpinzani, ni mammluki kama wewe ulivyo mwandishi MAMLUKI.
Unatia aibu sana. 🤣😅🤥🙄
 
Kama zitto amesimamia kuwa katiba mpya isubiri hadi hangaya amalizie mihula miwili ya uongozi unategemea asialikwe na tbc? Kama kweli ni TV ya Taifa basi warushemijadala ya katiba mpya ndipo tutaielewa.

Ila wewe mzee ni mzandiki sana na jamaa hata hawakufikirii uteuzi
 
N
Ningekuwa ni sehemu ya kumshauri mama basi ningemshauri amrudishe Tido muhando

Yule mzee aliibadilisha sana hii Taasisi yetu ya umma basi tu.
 
Mhe. Zitto Kabwe ni mwanasiasa mzalendo anaye ipenda nchi yake kwa dhati.
ni msema kweli sio mnafiki hivyo maneno yake yanaaminika sana kwa kuwa sio mnafiki.
Mhe. Mbowe na wenzake wanapaswa waige mwendo wa Zitto kama kweli wanaipenda nchi yao.
 
Naunga mkono hoja
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…