Kutokana na kinachoendelea katika nchi yetu tuipendayo, ninajaribu kuwaza historia itamkumbukaje Mheshimiwa Rais Magufuli, je, itamkumbuka kama;
• Mwoga aliyetumia ipasavyo madaraka ya kikatiba aliyonayo katika kuudhibiti upinzani kushiriki ipasavyo katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa na nyinginezo au
• Shujaa mwenye mbinu kabambe za kisiasa zilizolisaidia taifa kufanikiwa sana kuliko awamu yoyote, na hivyo kuuua upinzani kwa kifo cha asili baada ya kukosa hoja majukwaani na hivyo kuamua kususia kushiriki?
Hili ni swali tu. Ningependa kujua mawazo na mitazamo yenu, wanabodi. Karibuni.
Kwani Maalim Seif aliposusia uchaguzi Zanzibar Kikwete anakumbukwa kwa uoga au ushujaa?
dxxd xXxX xXxX xx cgxxxxxfvx x xdxccxdx dcxdccd xxx fKutokana na kinachoendelea katika nchi yetu tuipendayo, ninajaribu kuwaza historia itamkumbukaje Mheshimiwa Rais Magufuli, je, itamkumbuka kama;