Hiyo harufu ataenda kuinukisha chadema nzimaWapinzani ni watu makini saana, wataangalia Je Mh. Membe aka mbonezi anakuja ku add nini kwenye siasa za upinzani...ambazo EL na Mwenzake Sumaye walifeli vibaya?
Tutulie dk bado zipo...!! Niguse unuke ndiyo habari ya town!!
Mwl Nyerere alishaweka nadhiri yake kwa kusema "Mpinzani atayeing'oa CCM atatoka CCM. Ahadi hii bado ipo mpaka leo ni maswala ya muda tu. Huenda mida imefika.
Kwavyovyote vile Mh. sio mwanasiasa wa uzito mdogo kwenye siasa za Tanzania. Kumfukuza na kumpokea kwenye chama Cha siasa kuna athali.
Kama umemfukuza basi kaa kimya usubiri matokeo take sio tena kumtabiria kurudi kuomba msamaha au kukata rufaa. Kufanya hivi sio sawa maana hata akirudi CCM atarudi kwa masharti ambayo hayatamwezesha kutimiza ndoto yake.
Baada ya Lowassa na Sumaye kurejea CCM kuendelea kumuongelea Membe ni kuwakumbusha wapinzani ya Sumaye na Lowassa ili waingiwe na hofu ya kumpokea mh.
Wapinzani msimkatae Membe kwasababu ya Lowassa na Sumaye
Acha woga kijana; siasa ni sayansi...siasa si MAGUVU!! peleka ujumbe huu hapo kwenu Lumumba!!
Its Tundu Lissu 2020....Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.Kujiunga na Upinzani kwa Membe ni yeye tu ila Chadema akija aje akae bench kwa sababu ni Jasusi mbobezi asije kutukoroga
Uraisi tunae Jemadari Tundu Mughwai Lissu 2020
Kama ataona Nongwa ajaribu ACT wazalendo
Akijidanganya kwenda CUF atakombwa vijifedha vyake na yule Professa tapeli
Akienda Nccr-mageuzi ndio anaenda kujichimbia kaburi lake kisiasa
Labda aende kwenye povu la kiraracha au kwa mzee hashim rungwe wakakifufue chama
Wakileta kichwa ngumu misaada inakatwa na vikwazo vya kuzui wasisafiri vinafuatia maandamano ambayo hawajawahi kuyaona yanafuatia wakiuwa wananchi Fatou bensouda anawasweka ndaniIts Tundu Lissu 2020....Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Tume huru italeta habari hii...!!
Uking'atwa na nyoka........Mwl Nyerere alishaweka nadhiri yake kwa kusema "Mpinzani atayeing'oa CCM atatoka CCM. Ahadi hii bado ipo mpaka leo ni maswala ya muda tu. Huenda mida imefika.
Kwavyovyote vile Mh. sio mwanasiasa wa uzito mdogo kwenye siasa za Tanzania. Kumfukuza na kumpokea kwenye chama Cha siasa kuna athali.
Kama umemfukuza basi kaa kimya usubiri matokeo take sio tena kumtabiria kurudi kuomba msamaha au kukata rufaa. Kufanya hivi sio sawa maana hata akirudi CCM atarudi kwa masharti ambayo hayatamwezesha kutimiza ndoto yake.
Baada ya Lowassa na Sumaye kurejea CCM kuendelea kumuongelea Membe ni kuwakumbusha wapinzani ya Sumaye na Lowassa ili waingiwe na hofu ya kumpokea mh.
Wapinzani msimkatae Membe kwasababu ya Lowassa na Sumaye
Kazi na Bata Ni kauli ya ZZK sio Upinzani woteNaunga mkono hoja. Madogo wengi humu walikuwa wakisema Membe anakubalika sana CCM na Tanzania kwa ujumla. Walienda mbali zaidi kwamba ndiye mtu sahihi wa kuwa Rais wa Tanzania akiwa na kauli mbiu yake ya "Kazi na Bata". Sawa, Mungu awape nini vijana wa UKAWA. Dodo hilo chini ya mchongoma! Mchukueni Membe awe Mgombea wenu wa urais 20202!!!!!!!!
Kujiunga chama cha siasa ni haki ya kikatiba. Kufukuzwa ndiyo sijui. Hapa kuna shida, ukiwa mwanachama kindaki ndaki maana yake ideology inakuwa ya chama kile. Inakuwa damuni kabisa. Ni zaidi ya simba na yanga umkute mtu amekuwa simba miaka yote kisha aende yanga. Nafikiri kuna shida kubwa katika mfumo wa siasa duniani, mwanachama anapaswa kuwa life member na akikosa ananyimwa some privileges ila anabaki chamani kwa ajili ya hii ideology until death do them apart. Ni mawazo yangu ikiwa tunafanya siasa za kweli. Kwa mamlaka tu hawa wanachama wanaofukuzwa huwania vyeo kwa kuwa ndiyo malengo yao. Hakuna hata mmoja anayetaka kuwa mwanachama wa kawaida. Wakae hadi waive ndiyo kwa demokrasia wapewe nafasi ikionekanana inafaa. Ukiwapa kazi kwa mfano ya kukikuza chama hawawezi kwa kuwa ideology tofauti aliyokulia. Tizameni mtaona atiii.
Mwl Nyerere alishaweka nadhiri yake kwa kusema "Mpinzani atayeing'oa CCM atatoka CCM. Ahadi hii bado ipo mpaka leo ni maswala ya muda tu. Huenda mida imefika.
Kwa vyovyote vile Mh. sio mwanasiasa wa uzito mdogo kwenye siasa za Tanzania. Kumfukuza na kumpokea kwenye chama Cha siasa kuna athari.
Kama umemfukuza basi kaa kimya usubiri matokeo take sio tena kumtabiria kurudi kuomba msamaha au kukata rufaa. Kufanya hivi sio sawa maana hata akirudi CCM atarudi kwa masharti ambayo hayatamwezesha kutimiza ndoto yake.
Baada ya Lowassa na Sumaye kurejea CCM kuendelea kumuongelea Membe ni kuwakumbusha wapinzani ya Sumaye na Lowassa ili waingiwe na hofu ya kumpokea Mh.
Wapinzani msimkatae Membe kwasababu ya Lowassa na Sumaye.
Ninavyojua kauli hii ilinasibishwa na Bernard Membe. Hilo la ZZK silijui.
Usiwe na wasiwasi membe hana hela ya kununulia GEAR ya angani.Mwl Nyerere alishaweka nadhiri yake kwa kusema "Mpinzani atayeing'oa CCM atatoka CCM. Ahadi hii bado ipo mpaka leo ni maswala ya muda tu. Huenda mida imefika.