Wapinzani msimkatae Membe kwa sababu ya Lowassa na Sumaye

Paskali kalikubali bandiko lako..sijajua kwa nini..

Chama tawala kina dola...yanayofanyika yapo wazi kabisa kwamba wanatumia dola yao kudhibiti movements zozote za kisiasa zanazofanywa na wapinzani...hii si haki..wanakiuka katiba na sheria ya nchi waziwazi.....

Kwa mfano eti katibu mwenezi wa CCM awe na msafala wa walinzi tena wa Serikali kwa kisingizio kwamba eti chama tawala kinatekeleza ilani yake...yaani hiki ni kichekecho cha dunia...

Haya Mh Membe the right CCM Presidential candidate 2015 leo anaweza kufukuzwa chama as simple as that....

Tuna safari ndefu kukupa demokrasia kwanza ndani ya vyama vyetu.

Dawa ya CCM ipo jikoni....2020 ujinga hatutaki....
 
Jamaa yangu unakumbukumbu sana 20202!!!!
 
Ikumbukwe kwa serikali ya ccm huwezi kuwa waziri kama wewe sio Tiss, huwezi kuwa waziri mkuu kama wewe sio Tiss. So Membe amekuwa waziri wa mambo ya nje diplomatic issues kiapo alichokula hapo ni zaidi ya kuapa kumuua baba yako na mama yako mbele ya kadamnasi( wale wanaojua maswala ya kidiplomasia watanielewa). Membe hawezi kuwa mpinzani kamwe. Hawezi kwenda kinyume na yale aliyoapa mbele ya serikali ya ccm. Hawezi kabisa. Zingine wanatufanyia sanaa tu.

Nani anakumbuka ya Balozi Juma Mwapachu??? Viapo! You either die or continue with your mission. Most likely you will be killed.
 
Membe amefuzwa CCM. Lowassa na Sumaye hawakufuzwa ndani ya CCM waliondoka wenyewe kutokana na mizengwe waliofanyiwa na CCM.

Membe anweza kuwa na wafuasi wengi ndani na nje ya CCM kuliko inavyotegemewa. Kuna mambo mengi yaliyotokea tangu 2015 hadi sasa ambayo yata saidia kuamua upigaji kura.

Uchaguzi mkuu una utamaduni wake ambao ni tofauti na chaguzi ndogo. Amsha amsha zitakuwa zaidi ya 2015. Tujipange sawa sawa.
 
Kakutuma umpigie debe?
 
2020 hakuna uchaguzi. Uchaguzi ulishaisha. Tafuta ugali wako na wanao.
 
K*ndomu ikitumika haiwezi kutumiwa tena na MTU mwingine! Natoa kanuni ya somo LA afya!l, msije kunirushia mawe hapa!!
 
2020 hakuna uchaguzi. Uchaguzi ulishaisha. Tafuta ugali wako na wanao.
Hayo ni mawazo yako na naya heshimu. Uchaguzi uwepo au usiwepo bado tuta endelea kutafuta ugali kwa ajili ya watoto wetu. Hilo ni constant aje dictator au malaika familia taasisi ya familia itaendelea.
 
duh huu mwaka hautafika dunia itakuwa imeangamizwa na houjuhjuh wa majuhjuh
 
Kuja si tatizo aje tu awe mwanachama wa kawaida ila kupewa cheo ni marufuku.
 
Wao wampokee tu ila ukweli ni kwamba Membe hana hata robo ya iliyokuwa influence ya Mamvi!

Lowasa alikuwa ni taasis kamili yenye jumuiya za vijana, wanawake,wazee, viongozi wa dini na idara kadhaa kama vile propaganda etc.

Hizi siasa za uhujumu uchumi,kudukuana na utakatishaji fedha hata wanaCCM walionyuma ya Membe wako kwenye koma!
 
Wapinzani ni watu makini saana, wataangalia Je Mh. Membe aka mbonezi anakuja ku add nini kwenye siasa za upinzani...ambazo EL na Mwenzake Sumaye walifeli vibaya?

Tutulie dk bado zipo...!! Niguse unuke ndiyo habari ya town!!
Edward na wenzake waliongeza idadi ya wabunge wa upinzani, hili sio dogo, maana hata mwl Nyerere rip alisema upinzani wenye manufaa kwa taifa ni upinzani kuwa na wabunge wengi na sio kwenda Ikulu. Hivyo Kama Membe ana uwezo wa kuongeza wabunge japo 3 tu basi atakuwa na manufaa kwa wapinzani na upinzani.
 
Wapinzani watafanya makosa Kama wasipompa nafasi ya kuwa mgombea. Maana wapinzani mpaka Sasa wako kwenye hatihati ya kupata wabunge watakaoingia mjengoni
 
Kama upinzani unapenda maigizo uendelee kuwapokea wana CCM wanaokimbia au kufukuzwa chama na kama hatujajifunza basi upinzani wote ni mabwege watupu.Tatizo upinzani na viongozi wake ktk Tanzania yetu ni tatizo kubwa sana maana hata kama huna akili moto lazima uujue kwamba huwa unaunguza,shida ya upinzani Tanzania wananchi wakiwa tayari kwa lolote ujue viongozi wao hawako tayari na ndipo tunapopishana.Viongozi waliopo kwenye upinzani kwa vyama vyote hawafai kabisa ni wasaliti watupu.
 
Kuimba habari ya membe Kwanza ni kupungukiwa akili kwa mpinzani wa kweli.Tanzania inahitaji vyama vya siasa ambavyo ni taasisi na si mali ya watu fulani na tusipotoka hapo tutafeli mpaka tukome.nani hajui kwamba akina Dr.Slaa waliambiwa kwamba wasipompokea Lowasa wanafukuzwa chamani.Hivyo tusipoyajua haya muda wote tutaendelea kushabikia vitu tusivyovijua.
 
Lissu sawa laki
Sawa lakini tundu lissu sio wa 2020. Sasa hivi amalizane na afya yake na kesi zake Kwanza maana mahakama haijui msimu wa kampeni Wala wa kupiga kura anaweza kukamata hata akiwa kwenye kisanduku Cha kupigia kura siku ya but chaguzi
 
Ina maana wapinzani hawana mtu sahihi wa kugombea mpaka wasimamishe makapi yaliyotimuliwa CCM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…