Wewe ni Muongo, hakuna sehemu inayosema Tiss wote lazima wawe CCM, hata akiwa rais kupitia upinzani bado atakwenda kuwatumikia wananchi. Hata akina Netanyahu ni Tiss lakini walianzisha chama Cha upinzani Cha Likud ambacho Kiko madarakani. Upinzani sio usaliti Wala uaduiIkumbukwe kwa serikali ya ccm huwezi kuwa waziri kama wewe sio Tiss, huwezi kuwa waziri mkuu kama wewe sio Tiss. So Membe amekuwa waziri wa mambo ya nje diplomatic issues kiapo alichokula hapo ni zaidi ya kuapa kumuua baba yako na mama yako mbele ya kadamnasi( wale wanaojua maswala ya kidiplomasia watanielewa). Membe hawezi kuwa mpinzani kamwe. Hawezi kwenda kinyume na yale aliyoapa mbele ya serikali ya ccm. Hawezi kabisa. Zingine wanatufanyia sanaa tu.
Nani anakumbuka ya Balozi Juma Mwapachu??? Viapo! You either die or continue with your mission. Most likely you will be killed.
Wewe ndio hujui kitu unataka iandikwe?? Bado wewe ni mchanga kwenye siasa za Tz.Wewe ni Muongo, hakuna sehemu inayosema Tiss wote lazima wawe CCM, hata akiwa rais kupitia upinzani bado atakwenda kuwatumikia wananchi. Hata akina Netanyahu ni Tiss lakini walianzisha chama Cha upinzani Cha Likud ambacho Kiko madarakani. Upinzani sio usaliti Wala uadui
Upinzani umpokee Membe au usimpokee hawawezi kushinda Urais 2020, ila kumtanguliza Membe mbele kutawasaidia sana kupata wabunge na madiwani wengi. Membe anao mtaji wake mkubwa wa Wana CCM wenzake wanochukizwa na jinsi Mambo yanavyowaendea ndani ya chama. Hasa wale wapiga dili, wafanya biashara wakubwa, wenye korosho, wenye vyeti feki, waliohamia Dodoma kwa shingo upande, na wakwepa kodi ndani ya CCMKama upinzani unapenda maigizo uendelee kuwapokea wana CCM wanaokimbia au kufukuzwa chama na kama hatujajifunza basi upinzani wote ni mabwege watupu.Tatizo upinzani na viongozi wake ktk Tanzania yetu ni tatizo kubwa sana maana hata kama huna akili moto lazima uujue kwamba huwa unaunguza,shida ya upinzani Tanzania wananchi wakiwa tayari kwa lolote ujue viongozi wao hawako tayari na ndipo tunapopishana.Viongozi waliopo kwenye upinzani kwa vyama vyote hawafai kabisa ni wasaliti watupu.
Hiki ni kipindi Cha kukuza demokrasia ya vyama vingi sio kipindi Cha wapinzani kwenda Ikulu. Hiki ni kipindi Cha wapinzani kuongeza wabunge wengi watakaoleta mizania ndani ya bunge sio kipindi Cha wapinzani kwenda Ikulu bado.Hivyo wacha akina Membe waje wagombee upinzani ili kuongeza wabunge wengi bungeni.Kuimba habari ya membe Kwanza ni kupungukiwa akili kwa mpinzani wa kweli.Tanzania inahitaji vyama vya siasa ambavyo ni taasisi na si mali ya watu fulani na tusipotoka hapo tutafeli mpaka tukome.nani hajui kwamba akina Dr.Slaa waliambiwa kwamba wasipompokea Lowasa wanafukuzwa chamani.Hivyo tusipoyajua haya muda wote tutaendelea kushabikia vitu tusivyovijua.
Nazo siku za mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke si nyingi sana. Mh. Membe analifahamu sana hilo, hivyo sio miongoni mwa watu ambao wangependa historians waje wamuandike vibaya.