Wapinzani msitufokee, watanzania sio wasahaulifu kiasi hicho

iwe kwa damu ama kwa nyama Rais wetu Lissu hakuna ku- sign kifala.. imani yetu kwako ni pana sana!!

#LISU4PRESIDENT2020.
 
Wizi ufisadi upo tena kwenye utawala huu wa udikiteta ufisadi ndiyo kwanxa umezidi zaidi
 
Hela za tasaf ni za wadau wa maendeleo na sio hela za serikali, ingekua ndio za serikali mpenda sifa angezielekeza sehemu nyingine, ndio maana huwezi kumsikia akizisemea semea maana hazimuhusu!
Kigogo Warioba usijali, tuelimishane.

Wewe kwa ufahamu wako hela ta serikali ni ipi? Kodi tuu?

Mapato ya serikali ni pamoja na mikopo na misaada mbalimbali kutoka kwa wahisani.
 
Kwa kujitoa akili hamjambo, eti wapinzani wameacha agenda ya ufisadi!! Hukawasikia na madai ya trilioni 1.5 iliyfukuzisha kazi CAG Asad?
Upo ufisadi mkubwa kwenye ununuzi wa Ndege kwa cash , miradi yote mikubwa
 
Watanzania hatujasahau kuwa Upinzani walipigia kelele haya yaliyotekekezwa na JPM sasa wanageuka
 
Nimeuliza maswali mawili bado sijapata majibu

1. TAL alizunguka kila sehemu akisema Lowassa ni fisadi, baadae chama chake kikamchukua Lowassa na kumfanya mgombea wake huku ni yeye akiwa ndio mwanasheria mkuu wa CDM. Hatakumuona akitoka hadharani kumuombea radhi mzee Lowassa kwa kumchafua au alipinga ujio huo. Huyu analipi la kutuaminisha kuwa ana msimamo thabiti kama kiongozi mkuu wa nchi?

Ni yeye akiwa mwanasheria mkuu wa CDM aliyeongoza na kuratibu harakati zote za kumvua ZZK gwanda kiss tuu kijana huyo alitaka kukilia kiti cha sultani. Kelele za udemokrasia anazopiga zimejengwa kwenye msingi upi ilihali alishatuonesha kwa vitendo rangi yake halisi?

Majibu tatadhali
 
Hela za tasaf ni za wadau wa maendeleo na sio hela za serikali, ingekua ndio za serikali mpenda sifa angezielekeza sehemu nyingine, ndio maana huwezi kumsikia akizisemea semea maana hazimuhusu!
Kweli, zinatoka kwa mabeberu
 
CCM na ufisadi vimeshikamana, mimi nikiwa muhanga wa Kampuni ya New Habari iliyo chini ya Naibu Waziri wa Kilimo Bashe na kumilikiwa na mwana CCM na rafiki wa Magufuli Rostam Aziz imedhulumu haki zetu na kuvunja sheria za nchi kwa kutokupeleka Michango ya hifadhi ya jamii, pamoja na kulalamika ktk ngazi mbalimbali hakuna hatua zozote juu ya hawa jamaa kwakua ndo watoa pesa za kampeni Tumeona NSSF wakiwapeleka waajiri wengine Mahakamani sisi yapata miaka miwili tuna ambiwa tuendelee kungojea bado wanajadiliana, CCM NA UFISADI NI MTU NA NDUGUYE
 
Dalili za karma hizi. Sidhani kama zinawahusu wao
 
Pumbav, JIWE si ndio hana staha kila siku anaongea tu kugombeza wananchi bila kujua yeye ni muajiriwa wa wananchi?
 
Inafikilisha
 
Nauliza tu kushtakiwa MIGA kutakuwepo au kumeisha?

Ni hilo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…