Wapinzani ni lazima wamtukane Hayati Magufuli kwani aliyowafanyia yanaumiza mioyo yao

Wapinzani ni lazima wamtukane Hayati Magufuli kwani aliyowafanyia yanaumiza mioyo yao

yvegenc prymacov

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2023
Posts
1,530
Reaction score
1,961
Salute, vyama vya upinzani viwili vikubwa Tanzania,badara ya kueleza namna nzuri ambayo watatumia kuondoa kero za wananchi na kuwapunguzia mzigo wa maisha magumu, badara yake vimejikita kumshambulia mtu ambae hayupo madarakani wala duniani.

Matusi ambayo sina uhakika kama wanahitaji kuyasikia watanzania,na wala hayana maana yoyote kwa maisha magumu yanayowaumiza watanzania kwa sasa,

Lkn niwe mkweli, wapinza wanazo sababu za kufanya hivyo,n a sababu zenyewe ni kama ifuatavyo:

1. Hayati magufuli ndie alifuta ajira isiyorasmi ya wapinzani uchwala, kwani kwenye awamu ya nne,wapinzani Walikuwa wanaibua hoja za ufisadi,baadae wana kaa na mawaziri kwa siri wana pigwa Mtonyo,jpm akaziba huo mwanya.

2. Wapinzani wengi walikuwa ni wabunge, wengine ni madiwani,woote kawastaafisha,sasa hivi wapo vijiweni.

3. Sera kuu ya ukawa,ilikuwa ni ufisadi, JPM akashughurikia huo ufisadi kwa nguvu kubwa na wananchi wakashuhudia kuwa jiwe hana mchezo.

4. Vichwani mwa wapinzani kumejengeka picha kubwa ya sura ya Magufuli, picha inayoogofya na kutisha,kuna wapinzani Magufuli huwakuta ndotoni kama jinamizi, na huwa hawalali kabisa.

Hayo ndio yamewaudhi sana vyama vya upinzani,na kupelekea kumwogopa zaidi aliyekufa kuliko aliye hai,

Mwisho CCM kwa akili kubwa, wapinzani imewatupia mdoli wa JPM wanacheza nao,ccm imelala na kupumzika, wanakuja kuzinduka na kugundua kuwa kumbe tunacheza na mdoli wa Magufuli, na si Magufuli halisi WATAKUWA WAMECHELEWA.
 
Rekwbisha heading, siyo kumtukana bali kueleza ukatili alioufanya mguuli. Ebu thibitisha tusi alilotukanwa say jana na ACT?
 
Mtu kama zito unaona naye ni mpinzani, huyo ni zito kwa sura ya nje lakini sura ya ndani ni mrema wa wakati wa kikwete na magufuli. Zito anasaka tonge hana jipya.
 
Magufuli alikuwa mbaya kwa wapinzani koko na wapumbavu pekee
 
Miaka miwili sasa keshakufa mwambie shangazi yako azirudishe ajira rasmi.
 
Back
Top Bottom