Wapinzani wa nchi hii Uchaguzi huru na haki ni mpaka nyie mshinde? ACT- Wazalendo Konde mmeshinda kwa Tume gani ya Uchaguzi?

Huko Pemba ACT wameshinda baada ya mama kuona aibu ya uchaguzi mdogo wa awali ambapo CCM walishinda na baadaye mbunge wao kujiuzulu kwa madai ya kuwa maisha yake yalikuwa hatarini. Nadhani ushindi huu wa ACT ni kwa kuwa Wapemba hawapendi ujinga.

Vv
 
Hapana ni demokrasia mama kaikuza Pembe hawataki ujinga mbona awali walishindwa?

πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ

Miezi sita ya Rais Samia,

Nchi imetulia tuli,
Wawekezaji kama wote
Wahisani kama wote
Wananchi Shangwe kila kona

#KAZIIENDELEE
 
Acheni visingizio kubalini Samia anaupiga mwingi,
Huko Pemba ACT wameshinda baada ya mama kuona aibu ya uchaguzi mdogo wa awali ambapo CCM walishinda na baadaye mbunge wao kujiuzulu kwa madai ya kuwa maisha yake yalikuwa hatarini. Nadhani ushindi huu wa ACT ni kwa kuwa Wapemba hawapendi ujinga.

Vv
 
Rais Samia ameongeza wanafunzi 29,000 kwenye mikopo ya elimu ya juu HESLB kwa miezi sita tu,

miaka mitano mfululizo iliyopita tulifanikiwa wanafunzi wapya 32,000

Unaisemaje kasi ya Rais Samia?
 
πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ

Kutoka Mwaka 2015/16 hadi 2020/21 pesa iliyoongezwa bodi ya mikopo ilikuwa Tshs 101BL na wanafunzi wapya walikuwa elfu 32 ,

Awamu ya sita kwa miezi sita pesa iliyoongezwa kwenye bodi hiyohiyo ni Tsh 120b na wanafunzi wapya ni elfu 29

Budget ya HESLB kwa mwaka 2015/16 ilikuwa 348.7B kwa wanafunzi 98,300

Budget ya HESLB mwaka 2020/21 ilifikia 450B kwa wanafunzi 130,883

_________________________

Awamu ya sita kwa miezi sita imeongeza budget kutoka 450B za awali hadi 570B za sasa na idadi ya wanufaika imeongezeka na kufikia 160,000.

#Hoja hapa ni muda wa matokeo

#HAKUNA KAMA SAMIA
 
Hata SABAYA kashonwa mvua na hata kama Mbowe ataachiwa huru kuwa hana hatia bado tutaendelea kudai uhuru kamili wa mihimili uliohakikiwa.

Madai ya katiba mpya hayatakomeshwa kwa ghiliba.
 
Hata SABAYA kashonwa mvua na hata kama Mbowe ataachiwa huru kuwa hana hatia bado tutaendelea kudai uhuru kamili wa mihimili uliohakikiwa.

Madai ya katiba mpya hayatakomeshwa kwa ghiliba.
Hamueleweki ni kweli
 
Watanzania wameshawagundua kuwa ni wababaishaji hasa huku bara.

Tanzania Upinzani hakuna ila kunawapiganaji wa kusaka chochote.

Angalia maisha ya viongozi wao.

CHAMA NI CCM TU TANZANIA NA RAIS NI SAMIA
CCM hakuna kitu bila polisi/wabambikiaji watu kesi za ugaidi.
 
Hivi mwizi akiamua kukuibia kote isipokuwa sehemu 2 kwa mfano. Wizi wake unaisha anakuwa mtakatifu?

Mleta mada na Justin Kaaya kesi Mbowe shahidi #2 hakuna tofauti 😁😁.

Bure kabisa!
 
Watanzania wameshawagundua kuwa ni wababaishaji hasa huku bara.

Tanzania Upinzani hakuna ila kunawapiganaji wa kusaka chochote.

Angalia maisha ya viongozi wao.

CHAMA NI CCM TU TANZANIA NA RAIS NI SAMIA
😍😍
 
Hivi mwizi akiamua kukuibia kote isipokuwa sehemu 2 kwa mfano. Wizi wake unaisha anakuwa mtakatifu?

Mleta mada na Justin Kaaya kesi Mbowe shahidi #2 hakuna tofauti 😁😁.

Bure kabisa!
Kaaya 😍😍
 
Ona sasa
 
Hawana jipya hawa,

Nigenge lakutafuta chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…