Wapinzani wa nchi hii Uchaguzi huru na haki ni mpaka nyie mshinde? ACT- Wazalendo Konde mmeshinda kwa Tume gani ya Uchaguzi?

Nzuri
 
wapinzani watoke wapi?
 
Watanzania wameshawagundua kuwa ni wababaishaji hasa huku bara.

Tanzania Upinzani hakuna ila kunawapiganaji wa kusaka chochote.

Angalia maisha ya viongozi wao.

CHAMA NI CCM TU TANZANIA NA RAIS NI SAMIA


Sasa kwanini isiwepo tume huru ya uchunguzi ili washindwe wenyewe na kuridhika?
 
Tanzania hakuna up
 
Hii mbona huru tu


Wasimamizi wa uchaguzi wanapatikaje?

Ulimsikia jamaa fulani aliwaambia wasimamizi wa uchaguzi (wakurugenzi wa Halmashauri) kuwa β€œ niwateue mimi, niwalipe mishahara halafu mtangaze mpinzani kushinda?!

Kauli hiyo inakupa tafakari na maana gani?!
 
 
 
 
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Najaribu kuwaza kwa Sauti kama sio Rais Samia Suluhu leo Tanzania tungekuwa wapi?
 
Kwa speed hii ya Rais Samia, Tanzania huenda ikaibua mabilionea wapya 100 miaka miwili ijayo,Tufanye kazi kwa bidii zaidi
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
kwani tume kuwa huru ccm mnaogopa nini au mna hofu gani. wapinzani hawataki tume ambayo inaamua nani ashinde na nani ashindwe. police wanaingilia uchaguzi na tume kimya. wanaogopa kukemea uovu kwakuwa hawako huru.
HIVI NI KWANINI MITANDAO YA KIJAMII ILIZIMWA WAKATI WA UCHAGUZI?
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…