Wapinzani wa Simba kupewa red card ni maelekezo kutoka TFF au waamuzi wetu wana viwango hafifu?

babu onyango

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2023
Posts
378
Reaction score
984
Imekuwa ni kawaida sasa Timu mgeni zikicheza na Simba uwanja wa taifa lazima wamalize pungufu kwa mchezaji wao mmoja au zaidi kupewa redi kadi huku Simba wakipewa penati zenye utata.

Je, TFF na bodi ya ligi wameyabariki haya yatokee? Au tuwalaumu waamuzi kwa upendeleo wa wazi wanaoufanya na kuziumiza timu pinzani kila zichezapo na Simba?

Niko hapa nasubiri majibu
 
Imekuwa ni kawaida sasa Timu mgeni zikicheza na Simba uwanja wa taifa lazima wamalize pungufu kwa mchezaji wao mmoja au zaidi kupewa redi kadi huku Simba wakipewa penati zenye utata.

Je TFF na bodi ya ligi wameyabariki haya yatokee? Au tuwalaumu waamuzi kwa upendeleo wa wazi wanaoufanya na kuziumiza timu pinzani kila zichezapo na Simba?

Niko hapa na [emoji897][emoji897][emoji897][emoji897]zangu nasubili majibu
Red card na bodi ya ligi vinahusiana Nini na nidhamu ya mchezaji
 
Ni wao kukamia game na kutaka kuumiza wachezaji wa simba kimakusudi
 
Imekuwa ni kawaida sasa Timu mgeni zikicheza na Simba uwanja wa taifa lazima wamalize pungufu kwa mchezaji wao mmoja au zaidi kupewa redi kadi huku Simba wakipewa penati zenye utata.

Je TFF na bodi ya ligi wameyabariki haya yatokee? Au tuwalaumu waamuzi kwa upendeleo wa wazi wanaoufanya na kuziumiza timu pinzani kila zichezapo na Simba?

Niko hapa nasubili majibu
Ndio hasara ya kutuma watu kuumiza wachezaji.

Nyie utopolo,hizi pesa mnazotumia hovyo kuharibu mpira,kuna siku atakuja Farao asiyemjua Yusufu,mtazitoa kupitia matundu yote mwilini mwenu.

Kama mna pesa mlizochota tu,basi si ni bora muwaongezee mishahara wachezaji wenu wa ndani?!Kuliko kuhonga wavuta bangi waje kuharibu mpira?!

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Nani kamuhonga nani we mpumbavu? Simba inabebwa waziwazi Kila mtu anaona halafu unakimbilia habari za kuhongwa? Au Simba ndio anahonga waamuzi/bodi ya ligi/TFF ili waipendelee Simba?
 
Back
Top Bottom