babu onyango
JF-Expert Member
- Jan 12, 2023
- 378
- 984
Red card na bodi ya ligi vinahusiana Nini na nidhamu ya mchezajiImekuwa ni kawaida sasa Timu mgeni zikicheza na Simba uwanja wa taifa lazima wamalize pungufu kwa mchezaji wao mmoja au zaidi kupewa redi kadi huku Simba wakipewa penati zenye utata.
Je TFF na bodi ya ligi wameyabariki haya yatokee? Au tuwalaumu waamuzi kwa upendeleo wa wazi wanaoufanya na kuziumiza timu pinzani kila zichezapo na Simba?
Niko hapa na [emoji897][emoji897][emoji897][emoji897]zangu nasubili majibu
Kweli mnabebwa waziwaziAngalia. Umbwa hii
Je redi kadi za upendeleo zinahusiana vipi na nidhamu ya mchezaji?Red card na bodi ya ligi vinahusiana Nini na nidhamu ya mchezaji
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] unaambiwa hili ndio pira dubengaMNA UHAKIKA SIMBA WALIKUWA DUBAI AU VINGUNGUTI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila wa Simba wao huwa hawachezi faulo? Unamjua kanute au wenyew wanamwita Putin? Aina gani ya mchezo anaoucheza? Umeshaona anapewa iyo red kadi?Unataka Mtu Akicheza Mchezo Mbaya Mwamuzi Ampe Nini?Card Nyeupe
Thread Mbovu Kama Umeiandika Kwenye Mafuriko
Wakati Mwingine Ujitafakari
Ndio hasara ya kutuma watu kuumiza wachezaji.Imekuwa ni kawaida sasa Timu mgeni zikicheza na Simba uwanja wa taifa lazima wamalize pungufu kwa mchezaji wao mmoja au zaidi kupewa redi kadi huku Simba wakipewa penati zenye utata.
Je TFF na bodi ya ligi wameyabariki haya yatokee? Au tuwalaumu waamuzi kwa upendeleo wa wazi wanaoufanya na kuziumiza timu pinzani kila zichezapo na Simba?
Niko hapa nasubili majibu
Naona kama wapinzani wa Simba Huwa wanadhoofishwa mapema ili wasitoe challenge Dak 90Hili ilishasemwa sana hapa ngd,madogo penati wala haikuwa penati
usiwe unasikiliza kupitia TBC nunua azam TV, #mbelemwikonyumamwikodaimaJe redi kadi za upendeleo zinahusiana vipi na nidhamu ya mchezaji?
Hakuna red card za upendeleoJe redi kadi za upendeleo zinahusiana vipi na nidhamu ya mchezaji?
Nani kamuhonga nani we mpumbavu? Simba inabebwa waziwazi Kila mtu anaona halafu unakimbilia habari za kuhongwa? Au Simba ndio anahonga waamuzi/bodi ya ligi/TFF ili waipendelee Simba?Ndio hasara ya kutuma watu kuumiza wachezaji.
Nyie utopolo,hizi pesa mnazotumia hovyo kuharibu mpira,kuna siku atakuja Farao asiyemjua Yusufu,mtazitoa kupitia matundu yote mwilini mwenu.
Kama mna pesa mlizochota tu,basi si ni bora muwaongezee mishahara wachezaji wenu wa ndani?!Kuliko kuhonga wavuta bangi waje kuharibu mpira?!
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app