Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Wazee kwema?
Riding sharing Apps zipo nyingi, lakini zilizojizolea umaarufu Tanzania ni Bolt na Uber. Kwa kawaida, dereva anakua na App [Bolt Driver au Uber Driver App] hafu anaitwa na App ya mteja, kisha dereva anaenda kumchukua mteja hadi anapoenda, fresh.
Sasa Waymo [hii ni kampuni ya Google] wamekuja na technology yao ambapo abiria unaita gari na linakuja lenyewe bila dereva. Autonomous Taxi. Usiogope lipo safe.
Chuma inakuja unafungua mlango, una confirm kwa App ukiwa ndani linajua pa kukupeleka kama ukivyoset.
Tesla pia wanakuja na Robotaxi yao wanaiita Cybercab ambayo inafanya kazi ivyo ivyo kama Waymo.
Gari ndani itakua haina maneno mengi, steering wheel ya nini wakati we ni abiria.
Washatoa App unaweza download kuanza kufanya mazoezi.
Gari zitakua zinatumia sensors, radar na cameras kuhakikisha usalama wa abiria na watumiaji wengine, na pia zitatumia data za ramani za mitandaoni [Google Maps, Waze, Apple Maps etc] katika navigation.
Kwa nchi zetu, italeta challenge ya ajira, na miundombinu yetu sijui kama zitaweza ila ndio tujiandae kisaikolojia.
Siku njema.